TEMBA APATA VIFAA VYAKE VYA GARI BAADA YA KUTOA MKWANJA

0

 

Msanii wa bongo fleva kutoka Tmk wanaume family almaarufu kama Mh.Temba anayetamba na zake kali hapa tzee sasa baada ya siku kadhaa zilizopita tulipata taarifa kwamba  msanii huyu ameibiwa vifaa vyake vya gari lakini leo sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba leo hii amepata vifaa vyake vyote gari kwa kiasi cha sh. laki nane kwani kuna watu ambao hawakuweza kufahamika kwa alipigiwa simu na kuanzia kuambiwa itabidi atoe kiasi hicho cha pesa ili aweze kupata vifaa vyake vyotee!!!!!info  by Mh.Temba....!!!!!!!!!!!

0 comments: