C PWAA ATUMIA NJIA RAHISI LEO YA KUTOA VOCHA ILI UMPIGIE KURA-faudhu gucci
0
Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama CPwaa anayetamba na ngoma kadhaa hapa Tzee sasa
Latest info kutoka kwa msanii ni kwamba baada ya kufahamu kwamba zimebaki siku chache tu aende nchini South African kwa ajili ya kuwania Tuzo za Channel O sasa alichokifanya yeye leo kupitia katika ukurasa wake wa Facebook ni kwamba alikuwa akitoa vocha kuanzia Jero mpaka buku 5 ili umpigie kura.ebu angalia hapo jinsi alivyokuwa akitoa hizo vochaa.Daaahh!!!!!