MASKINI MASANJA MKANDAMIZAJI ATEMBEZEWA KICHAPO NA POLISI BAADA YA KUHISIWA NI JAMBAZI
0
Pole Mukandamizaji |
Wakati
akielekea kwenda kulipa Promo neno la Mungu huko mikoani, kazi ambayo ni
ya pili kwake baada ya kukuvunja mbavu sana kupitia Ze Comedy Orijino
ya TBC 1, Inasemekana kwamba eti Juzi pande za Chalinze/Pwani
Mchekeshaji maarufu bongo Masanja Mkandamizaji wacha atembezewe kichapo
heavy na Polisi Unajua ilikuaje?
(Jibu
Tiririkaaa) Teh teh Unaona Utaaaamu...!! Jamaa walikua wanaescort money
from Dsm kuelekea Tanga (si unajua gari za benki zinavyolindwa) sasa
wakiwa na gari la ESCORT, nyuma yao Masanja alikua anaendesha gari aina
ya Noah ndani ya Gari akiwa na wanakwaya wenzake, kwahiyo Masanja akawa
anawafuata kwa nyuma tangia Ubungo ndipo Polisi wakahisi watakua
majambazi, basi walipofika Chalinze jamaa wakablock njia na kuisimamisha
hiyo na Noah ya Kina mkandamizaji na kumshusha dereva kisha
kumwagia kichapo cha nguvu, dah kumbe alikua Masanja kuja kushtuka
wanamcheki usoni inasemekana alikua kishaloa cku miiiiingi, ndo wakaanza
kumhoji vizuri, polisi waliporidhika na maelezo yake ndo wakamuachia
aendelee na safari, kwa mengi zaidi humu humu ndani tafuta kidirisha
cha You Heard ya XXL alichojibu ndugu yake Mpoki baada ya Masanja
kutopatikana hewani #SamahaniLakini