Mpaka
sasa hivi Mh Temba hajapata vifaa vyake vilivyoibwa pamoja na nguo,
documents na vitu vingine vilivyokua ndani ya gari ambalo limeibiwa
likiwa nyumbani kwake usiku.
Hivi vifaa kuvinunua tena sio chini ya milioni moja.
.
.
.
.
.
Mh Temba na Chege.