ROZAY AFANYA REMIX YA HOLD ME BACK BAADA YA OBAMA KURUDI MADARAKANI -faudhu gucci

0

Msanii kutoka pande za marekani almaarufu kama Rick Ross anayetamba na ngoma kadhaa huko bongo land kama Hold me Back,Hustlin,So-Sophisticated, na ngoma nyingine kali sasa 
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kusikia Obama amerudi katika kiti chake cha Urais sasa alichokifanya yeye ni kwamba amefanya remix ya Hold me Back ambapo humo ndani amewashirikisha wasanii mbalimbali kama Gunplay, French Montana, Yo Gotti, and Lil Wayne ebu click hapo uone kila ambacho walichokifanya humo ndani
Download: holdmeback_rmx-master.mp3

0 comments: