EXCLUSIVE PHOTO: UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA CYRILL NA BOB JR"UTAMU WA CHOCOLATE" -faudhu gucci

0

 


Msanii wa bongo fleva almaarufu kwa jina la Cyrill Kamikaze anayetamba na ngoma kali hapa bongo na kupelekea mpaka mashabiki kumkubali katika tasnia ya muziki hapa Tzee sasa
Latest info kutoka kwa Cyrill ni kwamba baada ya kuachia ngoma yake mpya ya Utamu wa chocolate ambayo amemshirikisha Bob junior sasa siku za hivi karibuni ameweza kufanya maandalizi ya video yake mpya na hapo chini kuna baadhi ya sehemu ambazo zinamuonyesha Cyrill na Bob junior wakiwa katika utengenezaji wa video hiyo mpya Utamu wa Chocolate. wametishaaa mbayaaa!!!!!!!!!













0 comments: