PICHA ZA MSECHU: KANYOA DREADLOCKS AKIWA MAREKANI

0

.
Mwimbaji ambae ni mshindi wa shindano la Tusker Project Fame Peter Msechu bado yuko Marekani kupiga mitikasi ya maisha yake, kanitumia hizi picha na kuniambia amekwenda kwa maspecialist ambao wamemshauri azinyoe rasta zake alizokua nazo kwa sababu zilikua zinakua bila mpangilio ndio maana zilichelewa kukua hivyo sasa hivi amenyoa kabisa alafu baada ya miezi miwili zitaota nyingine alafu dread zinaungwa.
Kuna stori nyingine exclusive zinakuja kuhusu Peter Msechu hivyo endelea kupita on millardayo.com

0 comments: