JAY Z AFUNGUKA KUHUSU KAMPENI ZA BARRACK OBAMA

0


Kutoka pande za Obama land tunakutana na msanii anayefanya vizuri katika game la muziki huyu si mwingine ni Jay z sasa basi msanii huyu amefunguka kuhusiana na Rais Barrack Obama huku akisema kwamba anasifa za kuchukua uongozi pia ni rais mwenyewe changamoto mbalimbali hapa American.Hayo ndiyo maneno ya Jay Z kama vipi ebu fanya kama una click hii video uone jinsi alivyotiririka!!!!!!!!  

            

0 comments: