OBAMA AFUNGUKA JUU YA BEEF MARIAH CAREY NA NICK MINAJ HIVI KARIBUNI
Tunafahamu kwamba siku za hivi karibuni kulitokea beef kati ya Nick
minaj na Maria Carey katika Mashindano ya American Idol.Sasa basi Rais
Barrack Obama amefunguka kuhusiana na beef hiyo lakini sasa
chakushangaza bhana Obama dzain alionekana akimtetea mwana dada Maria
carey katika Beef hiyo ya wasanii hawa wawili