Waziri Mkuu azindua Mbio za Mwenge jijini Mbeya leo

0
***Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda(kulia) akimkabidhi Kiongozi wa Kitaifa wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Captain Erenest Mwanossa (kushoto) mwenge wa Uhuru leo mjini Mbeya tayari kwa kuanza mbio kwa ajili ya mwaka 2012.****Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dr. Fennella Mukangara (kushoto) akimtambulisha Kiongozi wa Kitaifa wa Mbio za Mwenge,Captain Erenest Mwanossa kwa Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda wakati wa uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2012 zilizofanyika leo jijini Mbeya.****Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda (kushoto) wakibadilishana Mawazo

0 comments: