WASHABIKI WA YANGA WACHACHAMAA KUTAKA UONGOZI WA JUU KUJIUZURU
0
*** Baadhi ya Wanachama na Wakereketwa wa Timu ya Yanga ya Jijini Dar,wakiongea na Waandishi wa habari waliofika kwenye Makao Makuu ya Klabu ya Timu hiyo,Mtaa wa Twiga na Jangwani leo.Wapenzi hao wa Timu hiyo ya Soka walifika Klabuni hapo wakidai kuwa wanataka Mwenyekiti wa Yanga,Lyod Nchunga aachie ngazi kwani hana Maslahi na timu hiyo,huku wengine wakikataa kuachia ngazi kwa kiongozi huyo.hali iliyopelekea mpaka askari wa Jeshi la Polisi kufika Klabuni hapo kwa kuhakikisha usalama unapatikana na hakuna madhara yeyote yatakayot