Dk. Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati Visiwani Zanzibar leo

0
***Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati,katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar leo,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.****Baadhi ya watendaji wa Idara mbali mbali za Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza nao katika mpango wake wa kuzungumza na kila Wizara katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja

0 comments: