SHUGHULI MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE AKIWA MJINI ADDIS ABABA,ETHIOPIA

0
***Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika mdahalo wakati wa Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika, akiwa na viongozi wengine wa nchi mbalimbali waliohudhuria.****Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa,Bw. Koffi Annan walipokutana katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa ambako wote walihudhuria Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika.*** *Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bishara la Kimataifa - World Trade Organisation (WTO

0 comments: