RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA ATINGA KIZIMBANI KUTOA USHAHIDI KATIKA KESI YA BALOZI MAHALU
0
***Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, kutoa ushahidi wake katika kesi inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu, anayekabiliwa na shtaka la uhujumu uchumi.***** *Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa akiondoka Mahakama hapo baada ya kutoa ushahidi wake.*