MBUNGE MTEULE WA AFRIKA MASHARIKI AKUTANA NA BOLIZI WA KENYA
0
* Balozi wa Kenya nchini, Mutinda Mutiso (kushoto) akimkaribisha Mbunge Mteule wa Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo alipokwenda kumtembelea.**Balozi wa Kenya nchini, Mutinda Mutiso (kushoto) akifafanua jambo wakati alipotembelewa na Mbunge Mteule wa Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.*