MEEK MILL APEWA RANGE ROVER AS GIFT KWENYE BIRTHDAY YAKE.

0
 

Tegemea zawadi kubwa sana kama Rick Ross ni mshikaji wako alafu umemualika katika fuction yako. Hiyo imemtokea msanii Meek Mill baada ya kupewa funguo ya Range Rover ya mwaka 2012 wakiwa red carpet ikiwa ni katika Birthday ya Meek Mill akitimiza umri wa miaka 25, imehappen weekend iliyoisha katika Yacht yake Bawse Rozay. Siku hiyo walikuwa watu kibao kutoka label ya MMG kama Wale na Juelz Santana…Usiku wa leo tunaparty mpaka noma kunywa pombe nyingi sana kwa ajili ya haters. Alisema rapper Philly. .

0 comments: