BUSTA RHYMES KUPERFORM KWENYE TAMASHA LA HIP HOP BROOKLYN MAREKANI
0
Mkali Busta Rhymes ambaye pia ameshawahikushuka Bongo kwenye Tamasha la Fiesta, ametajwa ni kati ya wasanii watakaoperform katika Tamasha la 8 la Hip Hop linalofahamika kama Brooklyn Hip Hop linalofanyika kati kati mwa mwaka ambalo litafanyika kati ya tarehe 9 na 14 mwezi Julai.
Mwaka jana Busta alikuwa kati ya wasanii ambao huwa kwenye list ya surprise artists katika Tamasha hilo, msanii mwingine aliyekuwa kama surprise ni pamoja na Kanye West, Monie Love na Black Thought. Mwaka jana Q.Tip alimuita Kanye West kwenye stage kama surprise. Tamasha la Brooklyn Hip Hop litafanyika tarehe 14 Brooklyn Bridge Park huko DUMBO...Tiketi zinapatikana kuanzia time hii tayari.....Mwezi wa saba tiketi zimeshaanzwa kuuzwa miezi mitatu kabla, Brooklyn Hip Hop Festival wanajipanga...Tusubiri Fiesta Bongo coming soon...Nani anashuka sikilizia tu Hatuna tatizo na Mtu....Itatisha zaidi ya Brooklyn Hip Hop Festival.