B.O.B AENDELEZA PROMO YA ALBUM YAKE YA “STRANGE CLOUDS” .

0

B.O.B alipanda ndege hadi Hollywood ili kuperform Jumatatu kwenye live show ya Jimmy Kimmel!  Huku Akipigwa tafu na band yake na waimbaji wa nyuma yake, Akaperform ngoma yake kali kwenye stage ngoma ya “So Good” akiwa kwenye piano.

Album yake ya “Strange Clouds” ambayo wapo Taylor Swift, Nick Minaj, na Chriss Brown inategemea kuuza copies 70 – 80,000 katika week yake ya kwanza ikitoka according to HITS Daily Double

0 comments: