RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
0
***Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dk. Hussein Mwinyi kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo****Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. Janeth Mbene kuwa Naibu Waziri Fedha wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo****Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. January Makamba, kuwa Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.*