MARIAH CAREY NA NICK CANNON WAMESHEREKEA BIRTHDAY YA WATOTO WAO MAPACHA.
0
Mariah Carey na Nick Cannon wamesherekea birthday kwa mara ya kwanza ya watoto wao mapacha toka wazaliwe ndo wametimiza mwaka mmoja, Monroe na Moroccan ilikuwa lavish party huko Paris mwezi uliopita. Familia yote walivalia vizuri kwa ajili ya party hiyo ya watoto wao mapacha, wakacheza nao pamoja na toys zao mpya walizokuwa wamewanunulia