MZIGO MPYA WA EMINEM WASITISHWA KWA MUDA!!.
0
Mwanamuziki Eminem kutoka pale Marekani ambaye alitarajiwa kuachia filamu yake mpya mapema mwezi ujao haitakuwa tena hivyo na badala yake filamu hiyo imepewa muda. Filamu hiyo itakayokwenda kwa jina la Southpaw ambayo yeye atashiriki kama mhusika mkuu ilipangwa kufanyiwa shooting mwezi huu na ilitegemewa kugharimu kiasi cha dola za kimarekani milioni 30 haitarekodiwa tena kutokana na kazi nyingi za kimuziki zilizomzonga msanii huyo ikiwemo kurekodi nyimbo zake mpya