JK KUAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI KESHO IKULU, Dar es salaam
0
*Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kesho, Jumatatu, Mei 7, 2012, atawaapisha Mawaziri na Naibu Mawaziri ambao aliwateua katika mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri aliyoyatangaza Ijumaa iliyopita Ikulu, Dar es Salaam.****Sherehe hizo za kuapishwa viongozi hao zitafanyika kwenye Viwanja vya Ikulu kuanzia saa 5:30 asubuhi.****Watakaopishwa katika sherehe hizo ni Mawaziri wanane wa zamani walioteuliwa kuongoza wizara nyingine, Mawaziri saba wapya katika Baraza la Mawaziri, Naibu Mawaziri sita waliobadilishwa Wizara pamoja na Naibu Mawaz