DIAMOND ATAJA KILICHOMWEZESHA KUWAAJIRI VIJANA WENZAKE!!
0

Msanii ambaye ni mtumbuizaji bora aliyenyakua Tuzo ya KTMA kwa mwaka 2012,Diamond ambaye hivi majuzi pia alikonga nyoyo za mashabiki wake licha ya kuwa na mvua kubwa pale kwenye kisiwa cha burudani cha Darlive huku akiwaacha watu wakishangaa kwa staili yake ya mavazi aliyoingia nayo ukumbini hapo akiwa amevalia kama mwanajeshi wa Navy aliweka wazi kilichompa nguvu yeye ya kuweza kuajiri vijana wenzake stay in swag on detenity for more info