Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012 lafanyika mjini dodoma leo

0

Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012 lafanyika mjini dodoma leo

*** Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Kati,Nick Tesha akizungumza na wadau kutoka vyuo vyuo vya Elimu ya Juu,wakati wa Bonanza la ufunguzi wa Mashindano Excel With Grand Malt 2012 kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu,lililofanyika jioni ya leo kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Central nyuma ya Benki ya NBC,Mjini Dodoma.Kushoto ni Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt ambao ndio wadhamini wakuu wa Mashindano hayo,Consolata Adam.****Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt ambao ndio wadhamini wakuu wa Mashindano Excel With Grand Malt 2012,Consolata Adam akifafanua namna mashi.

0 comments: