HII NDIO ILE TWITTER BEEF YA CHRIS BROWN, DRAKE & MEEKMILL KUHUSU RIHANNA.
0
Radio Power 105 New York imeripoti kwamba Kuna baadhi ya beef kwenye twitter ambazo huwa ni raha kuzisoma na zinafurahisha, ila hii ya wasanii iliyoibuka ya Chris Brown, Meek Mill na Drake inakera. Kilichotokea ni kwamba inaonekana wasanii hao wote watatu wa kiume wanamgombania Rihanna.. na hicho kimeonekana kupitia walichikiandika kwenye page zao za twitter