RIDHIWANI KIKWETE ALICHANGIA IDEA KWENYE SCRIPT YA VIDEO YA MADEE "HISTORIA".
0
First born wa Mr President Ridhiwani Kikwete alitoa idea kwenye script ya video ya ngoma ya historia, Kama ulikua hujui now you know. Alifanya hivyo baada ya kuisikia ngoma hiyo ya Madee inayoitwa historia. Ridhiwan anasema historia ni ngoma ambayo inagusa maisha ya watu wengi na pia ilimgusa na kumkumbusha rafiki yake wa longtime kutokana na historia ya ukweli ambayo ilikuwa kwenye wimbo huo inafanana dizaini na rafiki yake huyo, Licha ya kutoa idea tu kwenye script ya video hiyo pia alimpa mkwanja wa kugonga kichupa hicho.its more about music industry and social issues in and out