YOUNG D: NI KWELI NILIPATA AJALI WAKATI NATOKA KWENYE SHOW YA SIMBA.

0
Rapper Young Dar es salaam amekiri kwamba alipata ajali usiku wa jumapili wakati akitoka kufanya show ya club ya Simba kusherehekea ubingwa wake wa ligi kuu Dar Live Mbagala Dar es salaam. D amesema hiyo ndio sababu kubwa iliyomfanya hata ashindwe kuperform kwenye show ya Rachel wa THT Maisha Club. Chanzo cha ajali ni dereva

0 comments: