JK arejea nchini leo kutokea Addis Ababa
0
***Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu julius Nyerere akitokea Addis Ababa nchini Ethiopia alipokwenda kuhudhuria mkutano wa World Economic Forum(WEF).(picha na Freddy Maro)*