MBUNGE WA KENYA AINGIA BUNGENI NA KIDUKU

0


 

 Mike Sonko, Mbunge wa Makadara nchini Kenya, na rafiki wa karibu wa Jaguar,  mwenye vioja kila kukicha ndani ya bunge, baada ya kuingia huku akiwa ametupia hereni maskioni, jana alionekana na kioja kingine baada ya kuingia bungeni akiwa ameonyoa burand new hair style ya kijiduku kidogokidogo (mohawk), na kukiandika "PEACE" katikati

0 comments: