CNN KUMTAJA NAS KUWA MKALI WA MASHAIRI STORY KAMILI HII HAPA NDANI YA 255 NA DEEANDY
Kutoka pande za state media nyingi zilitaja wasanii wao kwamba nani
ni mkali “Who is the “greatest emcee? CNN katika list iliyotolewa awali
na wao wameongeza. Eliott C. McLaughlin kutoka CNN wameandika kwamba Nas
ndo msanii mandishi mzuri wa mashairi kwa kipindi...