THE SWITCH:KWA MAFANS WETU(NEW LOGOs)

0
                                                                        #1
                                                                        #2
                                                                          # 3
kUNDI LA the switch linaoundwa na GYAN BoBIC,JOSH JOH an ABBA MOKKO ni MISION inayopatikan ndani ya WAKACHA under GIgga fLOW kwa sasa wameachia Logo  zao mpya kwa ajiri ya fans wao,pia  wameweza kupokelewa vizuri na raia kupitia tshirt zao zinazofanya vizuri na kupendwana watu wengi za TEAM DE SWITCH zinazopatikana kwa JAY HUSTLER UNIQ pande za mwenge alisema ABBA MOKO mmoja wa member wa kundi hilo.na kwa sasa  kundi hilo linamleta kwenu kijana GYAN BOBIC na NYIMBO ya mpya ft MAUA ambayo soon itaanza kutambulishwa kwenye media mbali mbali...REGARDS (#TS team DE switch) support yako inahitajika...

0 comments: