Mrembo wa Afrika mashariki 2012 (TanzaniA) Joselyne Maro (katikati) akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili Ayisha Nagudi (Uganda Kushoto) na wa tatu Ariella Kwizera (Burundi kulia), baada ya kutanganzwa washindi katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar Es Salaam.