PICHA ZA NYUMBANI KWA KINA SHARO MILIONEA KWENYE MSIBA. Posted: 28th November 2012 by MillardAyo in News 5

0
Millard Ayo kwenye interview na Mwigizaji Mzee Majuto.
.
Hiyo nyumba mbele kushoto ndio nyumba ya kina Sharo Milionea ndipo alipozaliwa.
.
.
.
Mwenye t shirt nyeupe ni Mwigizaji Kitale, rafiki wa karibu sana wa Sharo Milionea.
Baadhi ya waigizaji kutoka Bongo Movie
.
.
Mjomba wa Marehemu ambae alisema Sharo Milionea atazikwa saa saba mchana.

0 comments: