Pia ukiachilia mbali na suala la utangazaji Abba anapenda sana kuwa
muandaaji(producer) wa vipindi mbali mbali pamoja na graphit
design.’’Sitaki niwe mtu hasiyejua vitu vingi kwenye fani yangu ya
utangazaji kwahiyo napenda sana niwe producer wa vipind na matangazo
pamoja na graphit design, kwa hiyo mwakani ntapiga shule kuhusu hizi
mambo hapo kwa majiran zetu Kenya na very soon naachia ma program goes
by de name’’Freestyle Session’’ ni cha mambo ya freestyle kwa
undergroundz wakal ambacho kitakuwa kinarushwa kupitia blog yangu
kwahiyo
fanz wangu na raia wote get ready 4dat’’, ndivyo alivyomalizia kijana
huyo mwenye migogo na swagga za kikaka zaidi.Pia Abba Moko ni member wa
kundi la muziki lijulikanalo kama ‘’THE SWITCH’’ linaloundwa na Gyan
Bobic,Joshy Joh na Abba Moko mwenyewe na kundi hilo lipo ndani ya kundi
maarufu la
WAKACHA WARRIORS under
Flow Ze Banks ,
Cyrill"KAMIKAZE" na
Jux Vuitton kwahiyo kwa pamoja wanatengeneza kundi linaloitwa (TSWW)
|
Kutoka kushoto ni Kricha,Jux,Cyrill,GiggaFlow,AbbaMoko,JoshyJoh na GyanBobic |
|
GYAN BOBIC,ABBA MOKO(katikati)na JOSHY JOH
WAKIWAKILISHA KUNDI LA"THE SWITCH" |
Kundi hilo are in de booth ready kwa
kupika mkwaju mkali waliomshirikisha Flow,Kricha na C.E.O wao Cyrill
Kamikaze,na pia kwa xaxa limeachia tshirt zao zinazojulikana km #TEAM DE
SWITCH,fashion on fashion..code on code ambazo zimeonekana kufanya
vizur kwa raia wengi na funz wao pia.
|
T-SHIRTS ZA "TEAM DE SWITCH" |
|
T-SHIRTS ZA #TEAM DE SWITCH PIA ZIPO SOKONI |
KWA WANAOHITAJI T-SHIRTS HIZI WASILIANA KWA NAMBA HII +255654781281 au cheki na Facebook hii>>
Abba Moko