2FACE AUNGANA NA MASTAA WENGINE WA NIGERIA KUWA VERIFIED TWITTER.

0
.
Account ya twitter ya Staa wa muziki kutoka Nigeria 2face Idibia imegongewa muhuri wa uthibitisho kwamba inamilikiwa na yeye, yani amekua verified.
Baada ya 2face kuwa verified, imefanya idadi ya wanigeria walioverified kwenye twitter kuwa zaidi ya 8 akiwemo D banj, Genevieve Nnaj, Omotola, Ice Prince, Nneka, na Asa.
Omotola.
.
.
Kwa Tanzania mpaka sasa ni watu watatu tu wamekua verified kwenye twitter, Hasheem Thabeet, Naibu waziri wa sayansi na teknolojia January Makamba na President J.K

0 comments: