KABLA YA NDOA MSHIKAJI AGUNDUA DEMU WAKE ANASAGANA (LESBIANISM))
Mshikaji anaeishi huko Lagos Nigeria alimtembelea demu wake katika chuo
kimoja (University) huko South – West lakini alichokuatana nacho hakuamini.
Demu wake huyo alikua akijihusisha na kusagana (Lesbianism) akiwa Chuoni ,
Habari kutoka chanzo kimoja kinasema msichana huyo anatoka familia
inayojiweza sana na baba yake ni Mkurugenzi Mkuu wa Federal Civil Service.
Demu na mshikaji wameshavalishana ndoa wanasubiri harusi tu lakini kwa
sasa mvulana hana nia ya kuendelea na mipango ya harusi yao, Pia hajui
afanyaje kwa sababu msichana huyo anamuomba msamaha na asikishe kwenye
f.