BI KIDUDE TAABAN KITANDANI
Taarifa toka Zanzibar zinadai kuwa Legendy wetu 'Bi.Kidude' anaumwa sana
na hana msaada wowote.
Inadaiwa kuwa mjukuu wake alizungumza na Television ya Zanzibar na
kulalamika kuwa Bibi yake hana msaada na hivyo anamuuguza kwa shida.
Taarifa zaidi zinasema Bibi anaumwa tangu wiki iliyopita, hamna mdau hata
mmoja wa muziki aliyejitokeza kumsaidia hivyo anatoa wito kwa wadau wenye
uwezo wajitokeze kumsaidia Bibi ili apate matibabu na kurejea kwenye hali
ya kawaida.
MUNGU AWE NAWE OUR LEGENDARY
its more about music industry and social issues