YANGA NA AZAM ZATINGA FAINALI #KAGAMECUP

0
Dar es Salaam young africans maarufu kama Yanga imetinga fainali baada ya ushindi mnono wa goli pekee lililofungwa na Kiiza katika dakika za nyongeza ...hiyo ni moja ya picha iliyopatikana kwenye mechi hiyo

Gooooal !!! John Bocco hapo amewainua mashabiki wa Azam baada ya kushinda goli la pili na goli la tatu la Azam lilifungwa na Ngassa wakati wakicheza na Vita....Matoke baada ya dk. 90 yalikuwa AZAM 3-1 VITA

Mashabiki wa Yanga wakishangilia

Huyu ni Mrisho Ngassa akiwapa mkono mashabiki wa Yanga baada ya kufunga goli murua

Kushoto ni kocha wa Yanga na Kulia ni kocha wa Azam
Fainali ya Kagame kati ya Azam Fc na Yanga itachezwa jumapili katika Uwanja wa Taifa .....Usiokoseeeee!!

0 comments: