HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA MAANDAMANO YA JOSEE CHAMELEON KUDAI PASSPORT YAKE

0
Maandamano yakiendelea

Baadhi ya waandamanaji

Kama unavyoona Jose Chameleon kashika bango hiloooo anaomba msaada wenu watanzania
Josee Chameleon akiingia mjengoni

Maandamano yakiendelea

C.E.O wa Global Publishers anayedaiwa kushilia passport ya msanii toka Uganda Josee Chameleon

0 comments: