WEMA VS Wolper hAKUNA MBABE
***Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa
mpambano wao*
*
*
**
* Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana*
*
*
**
*Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na
Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo Tamasha
la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa*
**
*Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na
Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo*
*
*
**
*Wema na Wolper baada ya mpambano*
**
*Mdau wa mchezo wa Masumbwi Nchin