JOSE CHAMELEONE AFUNIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI UWANJA WA TAIFA
*Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Uganda, Joseph Mayanja 'Jose Chameleone'
usiku wa kuamkia leo amefunika vilivyo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini
lililofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Chameleone
aliwarusha mashabiki kwa baadhi ya nyimbo zake za zamani kama Mambo bado,
Kipepeo na ile mpya iitwayo Valu Valu inayopendwa na watu wengi hapa Bongo.*
*Chameleone akiingia uwanjani kuwarusha mashabiki waliofurika Uwanja wa
Taifa usiku huu.*
*Jose akiimba na maelfu ya wapenzi wa burudani waliofurika ndani ya Uwanja
wa Taifa usiku huu.*
*Sehemu ya maelfu ya wakazi wa