NILIKUA SIJUI KAMA BONGO KUNA HIVI VIPAJI.

0
naweza ikawa sio video imeniteka sanaaa lakini wimbo una nafasi kubwa, nimeukubali… kitu kingine ni swagg za video walizoonyesha wahusika wakuu, Cindy na A.V.I.D ambae kiukweli ana swagg nzuri pia za video na hata kwenye uimbaji, flavour yake ni nyingine kabisa… Cindy nae kaflow vizuri sana kibongo bongo kiukweli nimempa tiki, baada ya kusema hayo yote, naomba utumie dakika zako nne tu kuitazama hiyo video hapo chini….!!!

0 comments: