Muigizaji na muongoza filamu Nguli kutoka Hollywood nchini Marekani, Mario van Peebles awasili jijini dar leo.

0

** *Muigizaji na muongoza filamu Nguli kutoka Hollywood nchini Marekani, Mario van Peebles amewasili nchini kuhudhuria Tamasha la filamu Zanzibar, ZIFF na pia kuzindua filamu yake mpya inayojulikana kwa jina la We The Party katika ukumbi wa Century Cinema, Mlimani City Jijini dar.* ** *Muigizaji na muongoza filamu Nguli kutoka Hollywood nchini Marekani, Mario van Peebles amewasili nchini kuhudhuria Tamasha la filamu Zanzibar, ZIFF na pia kuzindua filamu yake mpya inayojulikana kwa jina la We The Party katika ukumbi wa Century Cinema, Mlimani City Jijini dar, hapa akilakiwa na waandaa

0 comments: