DIVA LOVENESS LOVE ATAKAENIOA MAHARI SI CHINI YA MILIONI 500
Mwana dadiva anaeendisha kipindi cha ala za roho ndani ya the people's
station Diva loveness love jana amefunguka alipokuwa akifanya kipindi cha
xxl na mtu mzima Adam Mchomvu kuwa kwa yeyote atakae jitokeza kumuoa basi
lazima awe na si chini ya shilingi millioni 500..sikiliza interview hapa
chini
its more about music industry and social issues in and out of bongo land