KWA MNAOPENDA MASHINDANO YA MAGARI HIZI DAKIKA 9 ZINAWATOSHA KABISA.

0

huu Mzigo ni wa “Gymkhana Five” akwenye mitaa ya San Francisco Marekani, ukitaka kujua uendeshaji angalia hiyo video hapo chini, imepigwa mpaka ndani ya gari kabisa… ndio mara yangu ya kwanza kuona hiyo level kiukweli…. jionee mwenyewe pia!

0 comments: