HILI NDIO JUMBA ALILOKODI MARIA CAREY NA NICK CANNON LA MILIONI 200 KWA MWEZI.
0
Wakati
wengine wanawaza watalala wapi, Staa kama mwimbaji Maria Carey ndio
kwanza anaongeza idadi ya kukaa kwenye majumba mbalimbali ya kifahari
duniani, SasaMariah Carey sasa hivi mwimbaji huyu ameamua kukaa kwenye
hili jumba ambalo analilipia milioni 247 kwa mwezi, amekodi tu sio lake…
amefanya hivyo kwa ajili ya mapumziko huko Marekani, ni nyumba yenye
sehemu nyingi na inatimiza mahitaji mengi sana kama sehemu za watoto na
mengine… haijulikani atakaa hapa kwa muda gani.