VIDEO YA FEROOZ - NDEGE MTINI YAPATA VIEWS 120,740.
0
Katika pitapita zangu kwenye account yangu ya *Youtube* na kutafuta video gani niliyoiweka imeangaliwa sana, basi kuanzia nianze kuweka video za kibongo mwaka 2010 sijaona video iliyotembelewa na wengi kama hii ya* Ferooz* inayoitwa *NDEGE MTINI.*Video hii ya Ferooz niliiweka *December 12, 2011 4:05 PM* na watu walioitembelea wamefika *120,740* hadi leo na walio LIKE ni* 101* na Dislike ni *2* huku waliotuma Comments ni *38*.*VIDEO YA PILI BAADA YA FEROOZ NI VIDEO YA LADY JAY DEE - WANGU**Lady JayDEE* yeye video yake niliweka *May 10, 2011 4:19 PM* na watu waliotembelea video