LAURYN HILL MIAKA MITATU JELA USONI.
0
Leo Kwenye Mahakama moja ya New Jersey ndio kesi ya Lauryn Hill iliendelea kusikilizwa ambapo staa huyu wa muziki yuko kwenye hatari ya kwenda jela kwa miaka mitatu kutokana na kukwepa kulipa kodi ya dola za kimarekani milioni 1.8 kati ya 2005 and 2007, ambapo atatakiwa kuanza kutumikia kifungo chake November mwaka huu