UNAJUA KWAMBA BEEF YA HAWA JAMAA IMEKWISHA?
0
Kila ambae sikio na macho yake viko kwenye aina ya muziki wanaoufanya hao washkaji hapo juu ni lazima awe anafahamu kwamba walikua kwenye beef ndefu kidogo ambayo ilikua ni kulumbana baada ya Luda kumind Big Sean na Drake kudai kwamba amekopi flow yao. Haukua mtiti mdogo manake Luda pia alifikia mpaka kurekodi single