CLOUDSFM, PRIMETIME PROMOTIONS WAZINDUA FIESTA 2012

0
Serengeti Fiesta ni Msimu Maalum kwa ajili ya wapenzi na wadau wote wa muziki, Utamaduni na Burudani ambapo kwa karibu miezi miwili Watanzania kwenye Mikoa zaidi ya 12 nchini Tanzania wataweza kuendeleza msimu wa Dhahabu kwa kushuhudia jukwaa lenye uweledi na mvuto kutokana na Burudani hadhara ya wasanii mbalimbali wanaochipukia na wenye majina na umaarufu mkubwa..FIESTA 2012..BHAAAAAAS!!! kampeni meneja wa Push Mobile Mr,Rugabo akiwa na Barbra Hasan akionyesha jinsi ya kushiriki na ushinde haya magari na pikipikiMkuu wa vipindi radio Clouds akitoa maelekezo juu ya Fiesta 2012KA

0 comments: